Wasee mi hufanya biz ya beadworks...ni nini naezaduu kupanua hi biz, ju at the moment mi huifanyia kwa keja tu before nirudi chuo