Wasee mimi Niko campus but msoto walai utaniua. Nataka nianze biashara nisort out story ya kulala njaa almost daily. Niko na 15k naeza anza biz gani fty manzee. Any advice 😉😉😉