Wasee mimi nimelima skuma na spinach, zitakuwa ready in 2 weeks, kwenu bei ya wholesale ni ngapi per kg?