
Wasee mko kwa hii creative field, kuna countless things unafaa kutake into consideration throughout career yako. But Ni gani unadhani ndio most important so far📊?
A. Ku Understand ku'utilize design principles kama proportions, patterns etc. B. Kukua na good communication skills na pia collaboration na team yako C. Kuivia research na user-centered design kwa works unapewa D. Kustay current na industry trends and technologies
Feel free kushare any additional insights ama experiences zako hapa

0
0
0