
Wasee mmezoea kutumia water calours wakijaribu kuswitch tu acrylic sometimes hua wanasumbuka sana kuwork na hii type ya paints. The good thing ni ati I did art in highschool and nlitoka na straight A' (Hehee😌🤫)So believe me nikikushow hizi tips nlilearn kwa new comers wa acrylic.
- Tafuta a good quality canvas ama paintbook. Ukipata canvas yako inaabsorb too much paint hua inadry haraka, so itakua difficult kwako kuwork nayo.
- Usitumie brush kumix paint, tumia palette nlknife ama kitu ingine ndio brush yako isikue overworked and ianze kuloose its vibrancy.
- Usiongeze maji mob sana. Ata ikiwezekana tumia tu bila maji. Ju acrylics zi'hukuwa water-soluble and maji itafanya ikue transparent sana.
- Work quickly. Acrylics hukauka faster kuliko oil paints. Kama unataka kabreak unaeza funika paints zako na a damp cloth ndio isikauke.



0
0
0