Wasee nadai kuanza biz ya kuuza viatu na Niko na 5k.so nadai anybody willing kuniokolea na tips vnye naeza venture into this field,anaeza kua ameniokolea sana