
Wasee nadai mnichanue, two months ago nilianzisha ka hustle after Cole, ka kuuza nguo" I mean thrifting mtush" main target ilikuwa my former collegemates wasee wa hood lkn haikuwork vile nilikuwa na expect! Did I loose hope Early ama ? Anyway 🤪 nichapieni biz naweza fanya place kama Thika kwa wale mko around! #Tujengane
0
0
0