wasee natafta job yoyote tu..hata kama ni gani bora ikue shift ya kutoka mng hadi 11 -12 ....nadai ikue side husle juu biz yangu ya movie shop inadrop machines zinadai maintainance mara token mara masanse mara blanks zimeisha,siku hizi wasee wanashinda shugli joh ikifika masaaa ingine wanajifungia kuwatch dj afro..inabaki naubaaa na movie zanu hapo siku mzima..............ukiskia job any ni link pliz ntanyc sana.... asanteni..
0
0
0