Wasee, nauliza ideas za place fiti msee anaeza eka ps 4 na ifanye pao. Also, kwa wenye washafanya hio bsiahara ama wanaijua poa mnaeza advice aje msee anadai kuianza