
wasee ni kitu wiki moja mwaka ifike katikati hard to believe but time really moves fast ...swali ni the new year resolutions ya 2024 na manifesto zenye tuliandika hope we are all doing something about it to build yourself ndio by the time the next 6 months isikue story za jaba you know .Anyways tujijenge time waits for no man. #tujijenge
0
0
0