Wasee sai price ya tomatoes imeshoot 🤔🤔🤔huko mtaa yako mnauziwa how much,,,
huku nilikuwa nauza 3=10,, sai ni 1=5🥱🥱🥱 Ni kubaya hadi Huko kwenu??