Wasee tujichunge korona ni real, tunawe na tusanitize pls. Mbeleni sikuwa naamini , but now nimejionea mwenyewe wenye wako nayo.pls tufuate maagizo ya healthy na Kila kitu itakuwa sawa. Let's stay safe.