
Wasee tuko kwa hii field ya fruit vending 🤔🤔huwa mnacope up aje na hizi season variations🥱🥱 like unaweza pata season flani ni ya maembe 🥠ama Avocado 🥑 Then after a while zinapotea,, huwa mnafanyaje kustay on the market ndio usipoteze customers wako,,,, tuchapiane hapo kwa comments 👇👇
0
0
0