Wasee wa biashara, especially wasee wa tech kama mimi—phones, laptops, chargers na hizo zingine—mnadeal aje na competition? Mnabeba wateja vipi hadi wakufe kwa duka yenu na wasitake kuenda kwingine? Drop your hacks hapa, hata kama ni ka-offer ka ‘free screen protector’ ama jokes za kununua na kurudi
0
0
0