Wasee wa biz ya kinyozi sahii vile mvua inanyesha stima pia zinapotea ovyo ovyo.. mme ji backup aje ndio kazi iendelee?