
Wasee wa crypto tumeoshwa Tena hope haujakuwa victim wa CBEX pia wewe ?
⚡Kila msee hapa nje anadai kusecure quick bag atoke block mbio mbio na ma designer wa pyramid scheme wanajua hivo hence CBEX.
⚡CBEX ilikuwa platform ya kutrade futures, kazi yako ilikuwa kudeposit dooh alafu site inakufanyia trading, idea ilikuwa AI ndio inafanya izo trades so accuracy Iko juu hence the crazy profit margin.
⚡Site imekuwa active kama 2yrs hivi lakini juzi ndio mambo imechemka.
⚡Hizi vitu uhappen day in day out, lakini human nature ukuwa tricky, msee anajua ni Ponzi scheme lakini deep down anajaribu kugame the system na ukirecover unarundi tuu crime scene Tena,
⚡Sijui kama ni addiction but it won't be long before uskie story ingine kama hii ya crypto scam.


0
0
0