
🆕 Wasee wa Juakali husumbuliwa na Kanjo sana ikikaam kwa story za licenses, na kusema ukweli wasee most hawana licenses 😒 Hii ni issue almost kila mse wa Biz ame-face, Francis ako na thoughts zake watch hapa alafu share zako kwa comments 🙌
Kucheki tips zingine pia, cheki hii link: https://mesh.life/app/bizvi...

0
0
0