Wasee wa nduthi wamebeba mzigo ya hii fuel story vibaya sana. ⛽
Garama ya mafuta inapanda, lakini wateja bado wanataka same fare na jana.
Rider anakula risk, anachoka, na biz inakosa sense.
Hii time ndiyo muhimu kuanza:
- Kupangia routes smart (avoid empty trips, combine errands)
- Kuagree na customers fixed fares by distance, si kubahatisha
- Kuandika daily fuel vs income ujue kama route/flani inakulisha ama inakumaliza Kama wewe ni rider ama unamiliki boda, umejipanga aje na hizi fuel prices? Tip moja ya ground unezapeana kwa wengine?
0
0
0