Wasee wa online work, Upwork, writing na freelancers, hii story inatuhusu sana. 😬
Global payment firms are tightening money transfers to Kenya. Sendwave na Wise wameanza kusitisha baadhi ya services, huku Hurupay na PayPal pia zikiwa kwenye pressure.
Inasemekana hii inakuja wakati kuna increased scrutiny kuhusu money laundering na Kenya’s financial controls.
Na kuna wasee hapa ambao pesa zao zimekwama kwa PayPal for months. 😩
QUIZ YA MESHERS: Kama unategemea online work kulipwa kutoka abroad, payment method gani imekuwa reliable kwako?
A️⃣ PayPal B️⃣ Wise C️⃣ Payoneer D️⃣ Bank/M-Pesa direct
Tuweke experience kwa comments—wasee wa Upwork na online biz, tusaidiane kujua njia gani bado inawork. #kujengana
0
0
0