Wasee, wacha kubeba laptop kwa bag kubwa inakuumiza mgongo na inakufanya na unakaa stude wa high school 😂
Niko na MAN BAG ya Rexine - ile inadumu bana. Hii ukiwa nayo kwa meeting ama church, form yako iko tu sawa. Si ya madem, ni ya wanaume.
Nini inaeza wekwa ndani? Laptop 15" inaingia bila stress, file za job, nguo moja mbili ukitravel. Nyuma kuna zip compartment ya simu na ID - hutafuti kitu kama mwizi.
Rexine ni noma - mvua ikinyesha docs zako ziko safe. Jua na vumbi ya Kajiado haiiharibu. Lakini iweke mbali na jua juu itapeel yote kama maganda ya ndizi na moto pia itaichoma iishe yote Dm 'Man' kama unataka bag yenye inakuestablish kama mwanaume number ni 0745045393 bei ni 1800 ya mwanaume anajitambua
0
0
0