
Wasee wako kwa 'Nduthis'; Boda, hapa tao ebu tuchapieni returns ukuwa aje? Like sasa mimi na beste yangu Moses Malului tumekuwa na ka talks kwa ku venture in this biz and hizo ma nitty glitties ndio bado hatuna form vipoa. Like sasa salo ya msee, daily return, story za ma letter za county, license na stuff ka hizo. Ni buz wise ama itakuwa blunder? Unaeza nichapia inbox pia nita appreciate saana.
0
0
0