
wasee wangu wenye mmetumia AI for some time sasa ,,, nadai mnichanue kiasi hapa🤥🤥,,,,,,
Why is it that AI tools doesn't get back the exact image assuming unataka your original pic🤔🤔🤔 ama ni mimi sijachanuka🤣🤣🤣#anguka nayo hapo #comment section,,,,, kama kawaida keep it Brian's Health Corner tuchanuane tuchapiane na kujengana 💯

0
0
0