
Wasee πππ Welcome to Brian's Health Corner ππππ₯π₯¦ Leo nimekam na #dish moja very simple and cheap sana ya kumake home, Inabamba kila mtu na pia ni #healthyπ―
unadai nini na nini π€ 1.tomatoes π 2.onions π§ 3.avocado π₯ 4.corn π½ 5.piece ya Kuku/beef/bacon 6.dania πΏ #kata into your desired sizes then drizzle a pinch of salt and oil πͺ,,,, hii sio ya kukosa waseeeπͺπͺ keep it Brian's Health Corner π nitakuchanua benefits zake π―hapo kwa comment section πͺ as usual keep it #Brians Health Corner ππ₯ tuchapiane tuchanuane na tujenganeπ―

0
0
0