
Wasee wengi sana wameulizia kuhusu tips zakuanzisha #Biashara ya mitumba. Edu kutoka Thika anatuchapia a few tips za kuanzisha na kumaintain #Biz ya mitumba, cheki form yake 👇
•Ukitaka success kwa #Biz yako, lazima ujiamini! •Lazima ukuwe na discipline ya kutumia doh yako. •Hakikisha umestock quality products ndio customers wako waendelee kukaam.
Unaeza ongeza Tips gani za kumake it kwa Biz ya mitumba?
Join group yetu ya “wasee wa mtush” upate ideas kutoka wasee wamemake it kwa hii industry. Video credits @[Shujaaz Biz]
0
0
0