
Wasee wengi wanasema ety biz ndogo haidai story za stock taking ama record keeping π€π€π€is it True,,,
personally nasema NO,stock taking ni muhimu sana kwa biz yako ikuwe ni ya smokie, sausages ama hata matunda,,,hii itakusaidia kujua ;
- Vile products zako zinasonga
- Kama kuna products inafaa kuongeza ama kupunguza
- Kujua kama unafanya kazi na loss ama kuna profits unawai
- Records fty zitakusaidia kujua the progress ya biz π―π―
tuchapiane more importance za stock taking na record keeping hapo kwa comment section πππkama Kawa #form ni kujengana π―

0
0
0