
Wasee wote wale mko na talent ya football, ingia kwa simu yako, google NCSA, fungua hio link yako ya NCSA, creat profile yako hapo uki follow instructions, once ikishamaliza, upload video yako ukicheza. From hapo keep updating your profile and in one way or another unaeza angukia scholarship USA kwa colleges and universities. I have done mine sai nimepata offers za college kadhaa
0
0
0