Waseee hamfanyi poa,,,,unauliza stori na biz then unajoin but haufanyi kazi kwani hufeel lose ama inakushinda na husemi usaidiwe #normalise