Watu wa butchery , season ya kuokota macustomers ndio hii ! Hizi vitu nitawafundisha mpaka lini😁?
Supuu na miguu na vichwa vya mbuzi, na kafirifiri kadogo is all the magic you need👌🏾.
Check out the step by step recipe on how to make nutritious goat broth👇🏾 https://youtu.be/W1Oia2F4hp...

