Watu wa Kakamega Ibrahimu Mswahili Tyran Extermine
Msihate ASK Show ya mwaka huu.
Esp kama wewe ni mkulima na unatafuta technology latest ya ufugaji, ya milking pia ya kuboresha breed yako.
Kila mtu anajua Western iko na breeds kali za mifugo, home to best 🐂 bull-fighters and cock-fighters 🐓.
Kesho ndio mwisho. Kosa uchekwe!
0
0
0