Watu wa nguvu. Nataka kuwashow hustle yangu, hustle true. Naitwa Martin, me ni artist. Since corona ianze ilikua hard kupata job so nikakuwa challenged kufanya kitu na talent yangu. Nilionyeshwa naeza chora t-shirts. So nilianza kuzichora na wasee wakaipenda na since then nimekuwa kwa indusry ya hand print na sai nimeingia kwa screen printing.
0713748430 ndio my number. Contact kuinua bro.



0
0
0