Watu wanafanya biz ya chipo how to you manage? Sahii beii ya waru ime hype vibaya sana na Bei ya mafuta hata tusiseme juu Bei imepanda kupanda , kindly share how you guys are copping with this hapa kwa comment section