
Watu wangu, kama wasee wa hustle tunajuateconomy imepigwa kuni big time juu ya lockdown na curfew.
Real talk kiasi: Ungekuwa Prezo, ungefungua economy ama unge extend lockdown na curfew?
#Biz #Biashara #Hustle, #Growbiz #InuaBiashara #MyHustle #BiasharaYangu
0
0
0