Watu wangu mambo vipi
Tumeanza wiki na holiday
Na hii holiday kuna venye watu wa kuuza seedlings za miti wamejivunia kimpango...
Wewe kama youth ushawai fikiria kuanza hii biz ya kusupply seedlings?