
Watu wangu mambo vipi
Wacha niwachanue hapa kidogo
HOW TO BREAK INTO A NEW MARKET👇👇👇
1.Start by conducting thorough market research to grasp the preferences, challenges, and expectations of the new audience. Tailor your product or service to meet their specific needs or address gaps in the market.
2.Tengeneza mkakati wa masoko unaofaa, ukiangalia utamaduni na njia za mawasiliano zinazopendelewa na soko husika. Tumia majukwaa ya mtandaoni, mitandao ya kijamii, na matangazo ya ndani ili kuwafikia wateja watarajiwa.
3.Networking is key –anzisha uhusiano na watu maarufu, biashara, au mashirika ya ndani. Pia Collaborate on promotional activities or partnerships to enhance your brand visibility.
4.Flexibility is crucial;kuwa ready kuchange njia yako kulingana na feedback na changes kwa soko . Continuous evaluation and adjustment will contribute to a successful market entry.
