
Watu wangu niko na a very good hack for you ndio usijipate one day unaforce content creation. Hii ni specifically kwa wasee hupenda gaming. Unajua unaeza broadcast games live on your socials? Very easy especially on YouTube. Plus unaeza cut clips uone kama kuna short clips unaeza incorporate as videos. Then usisahau consisitency man. Mdogo mdogo tu utaanza kuapata genuine followers and channel ianze kugrow.

0
0
0