
Watu wangu wa biz how does it feel after doing all deductions za expenses? Kutoa rent , bill za stima other utility, pesa ya linces na salary ya kulipa your stuff . How's the feeling 🥲 is the profit worth the struggle? Pesa inabakii ni poa kweli ? Cause at times one might feel giving up
0
0
0