
Watu wangu wa MESH, ku-run biashara iko na #Challenges mob sana. Wasee wengi sana husema issue kubwa ni ku-mix #Doh ya #Biz na #Doh ya Personal use. Hapa ndio #Bookkeeping hukua muhimu. Unafaa kumanage #Doh ya #Biz aje?
Tujengane kwa comments ππΏππΏ
0
0
0