Watu wangu wa Mesh!! Nadai tujengane kiasi na ideas. Tuko season ya mvua sahii, naeza anzisha side-huslte gani na capital ya 3k??
#ShujaazBiz #BiasharaWednesdays