Watu wangu wa nguvu mimi nilikaa chini nikaona business ya kuuza bedsheets ijipi plus nilikua na loan ilikua inanipeleka mbio so nikaamua kuanza businesses ya kuuza fish inanipeleka poa though nikianza na dooh kiasi so natafuta loan niongezee stock ya fish na ni buy freezer
0
0
0