Watu wengi hudharau brokerage mpaka waone numbers.
Imagine kuna kijana anataka kuuza TV yake. Anasema, "Mimi sitaki chini ya KSh 25,000."
Wewe kama broker unatafuta buyer, unauza kwa KSh 30,000.
Unampa owner KSh 25,000 kama walivyokubaliana, unabaki na KSh 5,000 yako.
Haujatengeneza TV. Hujainunua. Hujalipia stock.
Umeuza tu kupitia connection na uwezo wa kuleta buyer.
Hiyo ndio biashara ya brokerage.
Kadri unavyojenga trust na network yako, ndivyo commissions zinavyokuwa kubwa zaidi. Leo ni TV, kesho ni fridge, laptop, boda boda, plot ama gari.
Usidharau biashara ya kuunganisha seller na buyer. Wakati wengine wanaona "ni kuongea tu," wengine wanatengeneza pesa kutokana na connections zao. 💰
0
0
0