
Watu wengi nowadays hupenda kuburudika na snacks yanaleta mandhari flani kwa hivyo samson kuna badhi ya contents yafaa uongeze kwa popcorn kama masala, .Nyingine ni cashew nuts ama korosho korosho ziko sana na baadhi ya watu wanapenda korosho sababu ina laadha ya njugu.kuchangaya korosho na popcorn na utie masala ndani inabadilisha utamu kidogo Hili mchanganyiko ukifanya then sell on packets ndogo ndogo at 100/= utakua mbele sababu watu hupenda Usisahau soda waeza weka plastic chairs kama 10 na meza then have a deepfreezer ya kueka soda ama nunua blender then use locally available fruits to make juice and sell at 30 bob on each small glass this will make your business expand. And remember this business inataka tu a small space bora stima iko na shade just enough
