
Watu yangu wa Transport and to be specific Ndudhi guys kujeni apa kidogo,
Nikama this time round gava iko serious kuleta regulations tough hii sector, kama MESHer unafeel aje kuhusu hizo new proposals zimetolewa(uniform, good conduct, NTSA...) ? Tuchapiane kwa comments section below 👇
0
0
0