
💪Ways unaweza anza ku-digitize biz yako.
-
Social Media ni one of the easiest na quickest point kuanza.
-
Anza kujipanga na tools una-need kwa strategy yako na ujue ni wapi best kuzi- invest at any point kwa biz yako..
-
Fungua Pochi la Biashara.
-
Tafuta Paybill ama Till Number.
🤔Share na MESHERS vitu ume-try kwa biz yako na vile zimeku-help.. tujengane.

0
0
0