
WAYS ZA KUGET INSPIRATION
No matter vile creativity yako iko, lazima u' draw inspiration from something at least ndio uweze ku grow. Hizi utasaidia ku generate ideas mpya and kufanya upate excitement ya kuanza ku work on them. Few producers najua wao u bonga vile ka tune kaneza mkujia in the whee of the night ama akiwa ana travel. So wewe u get inspiration aje?
Hizi ni one of common ways unaeza draw new inspirations from, naeza attest to some zenye nime try out or have being using.
š” Badilisha routine, like travel kwa towns ushawahi spend time and uko na memories š” Take some rest away from wasee. Kuwa alone, that ka moment yenye haufikirii troubles za life unaeza wahi ka inspiration fiti sana. š” Spend time connecting na artist mnashare same niche or ata different kiasi hio moment of sharing inaeza spark idea mwenda. š” Anza ka cleaning ama ku rearrange keja yako, hii ukuwa kama ile moment ya shower. š” Zikiza ama watch types tofauti za creative. Different from zenye wewe u do. š” Learn kuhusu msee mwenye wewe uki inspire, unaeza watch documentary kumhusu ama read a book about yeye.
Kama uko na more please share kwa comment ndio kama kwa #Tujijenge
#MeshCreatives #InspirationTips
