
Wazee mambo vipi,ndio kuanza mi hufanya music ,na naitaji support yenu Ili nisonge faa hapa link yangu.https://youtu.be/4BlakD7A2UQ Najua Kuna wengi hapa pia mkituma link yenu pia nitaingia Wacha tusaidiane.jameni nitashukuru sana https://youtu.be/4BlakD7A2UQ

0
0
0