
We are counting few Days to` bro and siz wetu wakuje home after KCSE. Tujengane kwa comments na idea zenye sisi mesher tunaeza washikisha hii time ya holiday ndio waanze kujifunza entrepreneurship mapema and pia kuanza kutafuta bucks. Mimi after shule Pero alinifunza kutengeza Greeting Card and nikakuwa na supply kwa wasee kiasi wa cyber. Pia niliona beste yangu mwenye alikuwa ananisaidia yangu then later namsaidia yake akiunda muffin cakes and namsadia sana sana morning.
#Tujijenge #JengwaNaMesh #SisiNiMesh

0
0
0