
We are on! 🎥 LIVE na @[Herman Kago] aka #ProfHamo in the building!🙌🏿 Discussion leo ni true! Kila mtu ako na life experiences zake, we all go through ups ⏫ and downs ⏬. Leo tunaskia story ya #Hamo a long side #MESHers wa nguvu @[Dj Falela] na @[Byron Osomo]. We invite you, share story yako kwa comments, iko nini! From hapa ni ku-grow pamoja! 💯 @[Captain Ashok] take it away 😎
#MESHMentors #ThursdayLive
0
0
0