
We have a new member kwa MESH group ya Wasee wa Mtush 👏👏
Fellow members, please help me kukaribisha @[Phillip Alpha] Kwa hii group, anadeal na viatu za Mtush na shop yake uko located apo Gikomba.
To the rest, keep on posting your hustle in your relevant groups to make it easier for you to connect with potential customers na pia opportunities whenever zinatokea.

0
0
0