
We're On It once again Wazito 💪💪💪😅 Welcome once again to 2024 hapa kwa Brian's Health Corner 🍓🥦🥦🍈🍒🍓🍍🍉
mwaka ndio hii imekam na pia sisi lazima #tujitume vile inafaa 💯💯au sio?
Otherwise hope festivities zenu zilikuwa fty kuruka mimi naye kama kawaidi nilikuwa field kujua vile nitawapeleka na form hii #New year,,,,so leo nadai kuchanua wasee walikuwa wanadai kujua #how to make a #shake😅 inaweza kuwa ya home tu ama ya hustle pale mtaani,,,,,so hapa kuna list ya vifaa unastahili kuwa nazo: 1.Commercial blender 2.Source of power ie Electricity 3.Blending fruits na matunda yenyewe pia,, 4.Knowledge ya kublend the fruits coz sio zote hublend
Keep it locked hapa kwa Brian's Health Corner every Wednesday 💯 nitazidi kuchapia more about #shakes na pia Smoothie 🥤🥤,,,
Next week same time same place 🍉🍉🍈🥦
