
We've been asking about this, ndio hii sasa ime-land. ๐โก
INTRODUCING #MESHmentorship!!!๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hapa MESH it's all about kujengana๐ช. Kuanzia Thursday 6th May 2PM๐ tutakua tukibonga na #MESHmentors Live๐๏ธ kwenye nyumba. Kama uko kwa #Biz ya ICT/Cyber/Computer services๐ป ama unafikiria kuanza usipitwe na hii opportunity. Usikose hii chance ya ku-gain extremely useful knowledge kutoka kwa our #Mentors @[Athumani Abdulla] , @[Edwin Wafubwa] na @[AMARU AMARU] /Muhammad Jarso
Kama kawa moderator wetu atakua @[Captain Ashok]
Jipange na maswali. Ukose utaambia watu nini?๐ค๐ค ๐๐๐๐๐
0
0
0